Maoni/Ushuhuda

Ipo vizuri
image
Msabi
May 18,2025
Nimesha pata mchumba
image
Lameck
May 18,2025
Nothng
image
mrofficialdsgn
May 18,2025
Watu wawe wanamaanisha sio kuleta utani
image
Ireneellam
May 18,2025
Taharifa zao na picha zao na aswa tujue ana watoto au ana Yani na aweke nambary ya sim apijiwe moja Kwa moja muhusika maana ata sms azijibiwi Kwa wakati
image
Omariselemani
May 18,2025
Ni app nzuri sana
image
Thom
May 12,2025
Hello
image
Wenceslaus
May 10,2025
Imabidi msitoze wahitaji fedha kwani Kuna wengine hawataweza kua nayo
image
MerryRolland
May 06,2025
Nimefurahi sana kwa huduma yenu
image
Dianakamugisha
May 04,2025
Maoni yangu kila anayeingia humu ndani awe napicha inayomuonyesha muhusika sio kivuli Kama hinyo unaweza kuchumbia mtu kumbe kakako
image
Jesca
May 02,2025