Maoni/Ushuhuda

Ni jukwaa zuri
image
Elisha
Jul 06,2025
Kwanza nipende kutoa shukrani za dhati kwenu kwa kufungua hii app hakika nimempata mwenza wangu wamaisha tunatarajia kufunga ndoa ambacho napenda kuwashauli wote wanaokuja wawe waaminifu nawavumilivu
image
JescaHagai
Jul 05,2025
Nimepata
image
Doris
Jul 03,2025
Hakia huduma yenu ni nzur na nimefanikiwa Asante sana muendelee na moyo huwo huwo
image
JerryJuliux
Jul 01,2025
Huduma in nzur Asanteni
image
Let
Jun 30,2025
Huduma Iko vizuri ukituliza akili unapata mwenza sahihi wa maisha nashukuru Mungu nimempata aliye wa kwangu kupitia hii huduma Ila la kuzingatia pesa na ngono siyo kipimo Cha mapenzi ya dhati
image
TunuMsalike
Jun 24,2025
App ni nzuri
image
Rena
Jun 19,2025
Nothing
image
TunuJairos
Jun 12,2025
app ni nzur
image
Mandy
May 31,2025
huduma nzuri
image
JohnSmith
May 21,2025
Account ni nzur na ina lengo zur tatizo hela ya kulipia
image
GloryWilliam
May 21,2025
Siwez kulipia gharama
image
Graceritte
May 18,2025