Maoni/Ushuhuda

Wekeni mfumo wa kulipia au kuangalia ads sio kila mtu atamudu kulipia
image
Kanyata
Apr 30,2024
Naona mko vizuri Mungu awabariki
image
neemavedastus
Apr 29,2024
Asante
image
Lissa
Apr 29,2024
Iko vzr
image
Nurathkhalid
Apr 28,2024
Ni nzuri na Mungu awabaliki kwa program hii
image
Becca
Apr 26,2024
Ni nzur na zaid members watulie na kuwe na utulivu ktk machaguo Yao
image
Neemajames
Apr 23,2024
Sawa
image
AnetyJohn
Apr 19,2024
Huduma ni nzuri
image
Linaah
Apr 18,2024
Nashukuru hii app nimepata mume tayar
image
Gladness
Apr 13,2024
Ikiwezekana pia kuwe na group la whatsap watu watapost picha zao wakipendana watawaona nyie maadmin ndy mtu anaweza kulipia na kuunganishwa na mtu wake
image
Vick
Apr 13,2024
Sio mbaya
image
Happ
Apr 08,2024
App iko good
image
Sophy
Apr 08,2024