Maoni/Ushuhuda

Nashukuru hii app nimepata mume tayar
image
Gladness
Apr 13,2024
Ikiwezekana pia kuwe na group la whatsap watu watapost picha zao wakipendana watawaona nyie maadmin ndy mtu anaweza kulipia na kuunganishwa na mtu wake
image
Vick
Apr 13,2024
Sio mbaya
image
Happ
Apr 08,2024
App iko good
image
Sophy
Apr 08,2024
Mbarikiwee sana mm nimepata mchumba soon tutaingia kwenye ndoa
image
Mollen
Apr 03,2024
Nimepata mme
image
Tayana
Apr 02,2024
Hakuna maon
image
Acim
Mar 27,2024
Huduma nzuri mnasaidia Sana
image
DsbA
Mar 27,2024
Watu wasikate tamaa japo wapo wanaume ambao hawana lengo la kuoa
image
Elifuraha
Mar 26,2024
Mimi sina kazi ama kipato ya uhakika na mabinti wa hapa wanahitaji kijana mwenye kazi ama kipato cha uhakika so let me gona find that work or suguri ya uhakika nikipata nitarejea
image
Ntezimana
Mar 26,2024
Gharama zako umepandisha mno nimeshindwa kuaford thank u
image
GODLISTEN
Mar 26,2024
Mko vizuri
image
Moses
Mar 25,2024